Najua unaweza kuwa umeshangazwa
kidogo na kichwa cha makala yetu ya leo, lakini usiogope wala kushangaa sana na
kuaanza tayari kusema haiwezekani bwana mimi sio dereva. Punguza presha ndugun
msomaji na uwe mpole maana taratibu utanielewa. Nasema wewe ni dereva ndio wewe
unaesoma makala hii kwa sasa wewe ni dereva, acha kubisha uliza dereva wa
nini?.